Biden ameahidi msaada zaidi kwa Israel na Ukraine, huku akiktoa wito kwa watu kuacha chuki
Rais Joe Biden akilihutubia taifa kutoka ofisi yake ya Oval Office, kwa mara ya pili tangu kuchukua madaraka, amezungumzia juu ya umuhimu wa Marekani kuziunga mkono Ukraine na Israel kwa ajili ya usalama wa taifa wa Marekani. .…
