Ruvuma: RC Aachunguza Kifo cha Mlinzi
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma (RC), Benson Mpesya.
Stori: Stephano Mango, RISASI JUMAMOSI
Ruvuma: Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma (RC), Benson Mpesya ameunda kamati ya wajumbe 10 inayoongozwa na Mkuu wa Mafunzo ya Kivita wa Jeshi la…