RC Morogoro Aamuru Kuswekwa Ndani Wenyeviti 21
MKUU wa mkoa wa Morogoro, Loata Ole Sanare ameagiza kukamatwa na kuwekwa ndani wenyeviti wa vitongoji 21 wa halimashauri ya mji mdogo wa mikumi wilaya ya Kilosa, kufuatia kutowahamasisha wananchi kushiriki katika ujenzi wa madarasa.…