Mauzauza Yatishia Usalama Hospitali ya Nkasi
UONGOZI wa Hospitali ya wilaya Nkasi mkoani Rukwa umelalamikia vitendo vya ushirikina vinavyofanywa hospitalini hapo kiasi cha kuhatarisha usalama kwa wafanyakazi wa hospitali hiyo.
Akitoa taarifa kwenye kikao kazi…
