Watu 130 Wauawa na Wanamgambo wa Kiislamu Nchini Mali Eneo la Sahel
Watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa kiislamu waliua zaidi ya raia 130 mwishoni mwa juma katika miji jirani ya katikati mwa Mali, ikiwa ni mauaji ya hivi karibuni katika eneo hilo la Sahel lenye mzozo.
Maafisa wa eneo hilo…
