Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anaongoza Taifa katika uzinduzi wa matokeo ya mwanzo ya Sensa ya watu na makazi mwaka 2022.
WAKATI leo ikiwa ndiyo siku ya mwisho ya sensa nchini mkuu wa mkoa wa Kagera Albert Chalamila, amesema kuwa mkoani kwake wamefikia asilimia 97.4 hadi sasa.
Mkuu wa Mkoa huo amesema kuwa makadirio yaliyofanywa na mtakwimu…
WAKATI Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa katika zoezi la kuhesabu watu na makazi yao (Sensa ya watu na makazi), Jeshi la Magereza mkoani Simiyu wameweza kuhesabu wafungwa kaika magereza ya mkoa huo ambapo wafungwa zaidi ya 100…
SENSA ni nini? Ofisi ya Takwimu ya Taifa(NBS) Sensa ya Watu na Makazi inaielezea sensa kuwa ni utaratibu wa kukuasanya, kuchambua,kutathmini,kuchapisha na kusambaza takwimu za kidemographia, kiuchumi na kijamii kuhusiana na watu wote na…
IKIWA imesalia siku moja kabla ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuanza zoezi la kitaifa la Sensa ya Watu na Makazi kesho tarehe 23 Agosti 2022, viongozi wa kisiasa, viongozi wa dini na wananchi kwa pamoja wanaimba wimbo mmoja,…
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. mwigulu Nchermba amesema kumekuwepo na baadhi ya watu kutumia fursa ya uhuru wao kupinga kila kitu ikiwemo masuala makubwa ya kitaifa jambo ambalo si afya kwa mustakabali wa taifa la leo.
…
Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk Albina Chuwa amesema maandalizi ya sensa ya sita nchini yanaendelea kama ilivyopangwa. Dk Chuwa ameyasema hayo leo Julai 12, 2021 jijini Dodoma wakati wa kikao cha wadau kwa ajili ya kujadili dodoso la sensa…