Kwa malazi ya ukweli, karibu Sha Villa Hotel
-->Kwa malazi bora, yenye utulivu na hewa safi, karibu Sha Villa
Hotel iliyopo Tegeta jijini Dar.
-->Hoteli ipo Tegeta-Nyaishozi, Opposite na Nyama Chabesi.
-->Ipo mita 500 kutoka Bagamoyo Road.
-->Ina vyumba vya kisasa,…
