Mama Dangote Kumfukuza Anko Shamte
WIKI kadhaa baada ya kusambaa kwa tetesi kuwa, staa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amemfukuza baba yake mlezi nyumbani kwa mama yake, Sanura Kassim ‘Mama Dangote’, Maisara Shamte almaarufu Uncle Shamte, mama…
