×

Tag: shigongo

Shigongo Achukua Fomu ya Ubunge Buchosa – Video

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa, Eric James Shigongo amechukua fomu ya kugombea...

READ MORE

Shigongo, Tizeba Wafungana Kura za Maoni Buchosa

WATIA nia wawili katika Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric James Shigongo na aliyekuwa mbunge wa Jimbo...

READ MORE

Nikki wa Pili: Sifa ya Mahusiano Kufanana – Video

  RAPA maarufu nchini, Nikki wa Pili amesema sifa ya kuhusiana lazima mfanane, huku akitolea mfano kuwa wanywaji wa pombe...

READ MORE

Wapenzi Wa Hadithi za Shigongo Sasa Kuzipata Kwenye Simu

KAMPUNI ya huduma ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC kwa kushirikiana na Kampuni ya Global Publishers...

READ MORE

Darasa: Njia 6 za Kutengeneza Pesa Mtandaoni – Eric Shigongo

MHAMASISHAJI maarufu Afrika Mashariki na Kati ambaye pia ni mjasiriamali na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo,...

READ MORE

Hadharani: Shigongo Alivyomsema Rais Magufuli Kijasiri Marekani

MKURUGENZI Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo amempongeza Rais Dk John Pombe Magufuli kwa uamuzi wake wa kipekee...

READ MORE

Corona: Kipindi Mjadala Kuhusu Wauguzi na Madaktari – Video

Katika kipindi cha Front Page, leo Aprili 20, 2020, wachambuzi wamechambua Mjadala kuhusu wauguzi na madaktari katika kipindi hiki kigumu...

READ MORE

Shigongo Hajaamini Alichokiona kwa Wanafunzi Hawa, Atoa Mil 1 – Video

Mkurugenzi wa Makampuni Global Group, Eric Shigongo, amepata heshima ya kuwa mgeni rasmi Kwenye mdahalo uliofanyika Shule ya Sekondari Shaban...

READ MORE

Mtoto Baraka Anaujua Moyo Utashangaa – Video

MTOTO mdogo aitwaye Baraka Shigongo (10) mwenye kipaji cha aina yake katika masuala mbalimbali hasa ya Sayansi, hapa yupo darasani...

READ MORE

Shigongo: Si Kila Aliyeacha Shule Alikwenda Kuwa Bilionea – Video

  MKURUGENZI Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo.  amewasihi wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini College (TUDARCo) kujituma...

READ MORE

Na Eric Shigongo: Njia Nyingine za Kukuwezesha Kuwa Tajiri

NDUGU zangu, baada ya wiki iliyopita kueleza siri ya namna ya kupata utajiri, leo nitakupa njia nyingine ambazo zinaweza kukuwezesha...

READ MORE

Shigongo Amrejesha CCM Mwenyekiti wa Chadema – Video

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kupata pigo baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Jimbo la Buchosa, Jaji...

READ MORE

Neema ya Mungu + Kanuni = Mafanikio!

­­ KWA neema ya Mungu nimefika hapa nilipo maishani mwangu, ndicho ninachoweza kusema, lakini pamoja na neema hiyo, sheria ilikuwa...

READ MORE

DIARY ya Shigongo – 42: Umejiandaaje na Baada ya Kustaafu na Kuzeeka?

NI Jumamosi tulivu ninapoandika makala haya, nipo ofisini kwangu nikiendelea na majukumu yangu ya kila siku.   Ijumaa iliyopita, nilipata...

READ MORE

Shigongo Awapa ‘Madini’ TCRA-SACCOS – Video

MHAMASISHAJI namba moja Afrika Mashariki na Kati, Eric James Shigongo, amewapa ‘madini’ wana-Ushirika wa Chama cha Kuweka na Kukopa cha...

READ MORE

Speakers Conference: Shigongo, Harris Kapiga Wawanoa Vijana – Video

HATIMAYE ule mkutano wa kihistoria na wa aina yake uliopewa jina la Speakers Conference umefanyika Jumamosi iliyopita katika Ukumbi wa...

READ MORE

MAZIKO YA VAILETH — DADA WA SHIGONGO — YALIVYOKUWA BUPANDWAMHELA

MWILI wa marehemu Vaileth James Bukumbi, dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, hatimaye umelazwa katika...

READ MORE

Msiba wa Vaileth Bukumbi…. DC Magu “Taifa Limepoteza Mpambanaji

MWILI wa dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, marehemu Vaileth James Bukumbi, umeagwa na kuzikwa...

READ MORE

Ibada Kumuaga Dada wa Shigongo Yafanyika Bupandwamhela (Pichaz)

IBADA ya kuuaga mwili wa dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, marehemu Vaileth James Bukumbi,...

READ MORE

VILIO! Mwili wa Dada wa Shigongo Wawasili Bupandwamhela – (Pichaz + Video)

MWILI wa dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, marehemu Vaileth James Bukumbi, umewasili leo Alhamisi,...

READ MORE

Eric Shigongo: Siri ya Ushindi Usikubali Kushindwa!

RAFIKI zangu ni wale wanaotafuta mafanikio kila siku, ndiyo ninaozungumza nao mara zote mahali hapa.   Ningependa kuwaeleza rafiki zangu...

READ MORE

FULL MAUNO! Shuhudia Makonda, Shigongo, Gondwe, Masanja Wakichuana – Video

NI furaha iliyoje ndani ya Yesu? Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewaongoza viongozi wenzake na watu...

READ MORE

Maneno Mazito ya Shigongo, DC Gondwe na Sasali Campus Night – Video

KONGAMANO la Victory Campus Night 2019 limefanyika usiku wa leo Mei 17, 2019 katika viwanja vya Tanganyika Packers jijini Dar...

READ MORE

SHIGONGO AUANGANA NA MAMIA KUMUAGA DKT. MENGI

Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo amewasili Moshi na kuungana na mamia ya waombolezaji kumsindikiza mzee wetu,...

READ MORE

SHIGONGO AWAPA SIRI YA KUPATA ‘DIVISION ONE’ WANAFUNZI FORM 6

MKURUGENZI Mtendaji wa Global Group na Mwalimu wa Ujasiriamali, Eric Shigongo,  leo amezungumza na wanafunzi wa kidato cha sita wa...

READ MORE

SHIGONGO Awapa Siri Nzito ya Mafanikio ‘Malkia wa Nguvu’ – Video

MJASIRIAMALI, mhamasishaji na mmiliki wa makampuni ya Global Group, Eric Shigongo,  amewaasa wanawake  nchini kuamini na kutumia vipaji walivyo navyo...

READ MORE

SHIGONGO: Tusilalamike, Hatupo Hapa kwa Bahati Mbaya – VIDEO

MHAMASISHAJI maarufu Afrika Mashariki na Kati ambaye pia ni mjasiriamali, Eric Shigongo,  amewaasa vijana nchini kuacha kasumba ya kulaumu serikali na...

READ MORE

IBADA YA KUBARIKI MAKABURI YA WAZAZI WA SHIGONGO YAFANYIKA MWANZA

LEO, leo Jumatatu, Desemba 24, 2018, familia ya Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, imefanya ibada maalum...

READ MORE

Maneno ya Shigongo Akiwakumbuka Wazazi Wake Yawagusa Wengi

LEO, leo Jumatatu, Desemba 24, 2018, familia ya Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, imefanya ibada maalum...

READ MORE

Ibada ya Misa Kuwaombea Wazazi wa Shigongo Yafanyika Bupandwamhela – Pichaz

FAMILIA ya Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, leo Jumatatu, Desemba 24, 2018 imefanya ibada maalum ya...

READ MORE

Shigongo Awatia Moyo Wanafunzi Vyuo Vikuu Dar

MKURUGENZI Mtendaji wa Makampuni ya Global Group na Mhamasishaji Maarufu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo amewaasa wanafunzi wa mwaka...

READ MORE

Mwanafunzi IFM Amfanyia ‘Sapraizi’ Shigongo

Mwanafunzi wa IFM, Yusuph Abas akimkabidhi Eric Shigongo picha yenye sura yake aliyoichora kwa mkono wake.MWANAFUNZI wa Mwaka wa kwanza katika...

READ MORE

HADITHI MPYA YA SHIGONGO: My Heart is Bleeding (Moyo Wangu Unavuja Damu)

NI hadithi mpya yenye kusisimua ambayo itakufundisha mambo mengi ya kuhusu maisha na mapito yake, itakuhitaji uwe mvumilivu na mwenye...

READ MORE

SHIGONGO, MASANJA WAMEKULETEA Password ya Mafanikio Yako – Video

MKURUGENZI wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, Mchungaji Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamiazji’ na Bishop Mwakiborwa wamakuleta SIKU TATU ZA...

READ MORE

Shigongo Apandikiza Mbegu ya Ushindi kwa Madereva Bajaj – Video

MKURUGEZNI Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo,  amepandikiza mbegu ya ushindi kwa madereva wa Bajaj wa kituo cha...

READ MORE