Zanzibar Yarudisha Darasa la Saba
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imefanya mabadiliko katika ngazi ya elimu ya msingi kwa kurejesha darasa la saba kuanzia mwaka 2022 kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari, Waziri…