VIDEO: Rais Magufuli Amuapisha Simon Sirro Kuwa IGP Mpya
IKULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu Mei, 29, 2017 amemuapisha rasmi aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la…