Sumu Inayoua Wanaume Wengi Wakorofi, Inatoa Mtazamo Tofauti
BILA takwimu rasmi, lakini kwa sasa vinasikika visa vingi vya mauaji, ukatili, unyanyasaji na mengine mabaya yanayofanywa na binadamu kwa binadamu wenzao.
Hebu tumia dakika yako moja kusoma kisa hiki cha kutunga, lakini…
