Waziri Bashungwa: Karibuni Tuburudike Tamasha la Serengeti Dodoma
Tamasha la pili la Muziki nchini la Serengeti (Serengeti Music Festival) linatarajiwa kufanyika Februari 06, 2021 Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma litashirikisha wasanii wa muziki wa kizazi kipya wa sasa na wa zamani (Bongo Fleva) ili…
