Walichokifanya Airtel, Hakijawahi Kutokea, Unapiga Mitandao Yote? – Video
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imeendelea kuwapa wateja wake huduma kabambe na za kipekee ikiwa ni jibu na itikio la mahitaji ya wateja wao kwa kuzindua huduma mpya inayojulikana kama ‘TAMBA MITANDAO YOTE’.…
