The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

TANASHA

Tanasha Mikononi mwa King Kiba

BAADA ya pati ya kusikiliza Albam ya Only One King ya King Kiba kufanyika jijini Dar, wikiendi iliyopita ilikuwa ni zamu ya kusikilizwa nchini Kenya na ndipo msanii huyo akakutana uso kwa uso na baby mama wa Diamond, Tanasha Donna.…

Tanasha Amtolea Nje Diamond

KUNA stori imevuja kwamba, Diamond Platnumz alipanga kumtumia mmoja wa ma-baby mama wake, Tanasha Donna kama video vixen (muuza sura) kwenye video yake mpya ya Naanzaje, lakini habari za ndani zinadai kuwa, mwanamama huyo alimtolea nje.…

Tanasha Anukia Wasafi

MWANAMAMA kutoka nchi jirani ya Kenya, Tanasha Donna Oketch amesikika vizuri kunako muziki wa kizazi kipya. Katika miaka yake miwili kwenye muziki, ameweka rekodi mbalimbali. Jina la Tanasha lilikua kubwa baada ya kuwa kwenye…

Tanasha Awatoa Wanaume Udenda

STAA wa muziki kutoka nchini Kenya, Tanasha Donna, amewatoa udenda baadhi ya wanaume wakware ambao wamejikuta wakijiongezea machungu ya mwezi dume wa Januari. Tanasha ambaye ni mzazi mwenza wa staa wa muziki barani Afrika,…

Tanasha: Mondi Ameanza Kutoa Matunzo

MZAZI mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna amesema kuwa, jamaa huyo sasa ameanza kutoa pesa ya matunzo ya mtoto wao, Naseeb Junior. Awali, mara tu baada ya kutengana na…

Tanasha: Simpeleki Mtoto Ng’o

MSANII wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Kenya, Tanasha Donna Oketch ambaye pia ni mzazi mwenza wa kinara wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amewajia juu mashabiki ambao wanataka ampeleke mtoto kwa baba yake na kusema;…

Tanasha Atangaza Balaa Zito!

MZAZI mwenza wa staa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna ametangaza balaa zito. Hivi karibuni Tanasha aliingia studio kwa prodyuza Shirko kule Mombasa ambapo amesema anatarajia kuiteka Afrika…

Tanasha Atibua Saumu za Watu

DAR: Baada ya kubadili dini kutoka Ukristo na kuwa Muislam, mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Mondi’, Tanasha Donna ambaye kwa sasa anaitwa Aisha Donna, ametibua saumu za watu kwa kushindwa kujisitiri kama mwanamke wa…

Mtoto wa Mondi Amtesa Tanasha

IONGEZWE sauti au mmeshasikia kwamba Tanasha Donna anajuta kumzalia mtoto Nasibu Abdul ‘Diamond’ au Mondi? Mwanamke huyo raia wa Kenya, hivi karibuni alikiambia chombo kimoja cha habari nchini humo miezi kadhaa baada ya uhusiano…