Azam TV Yaileta FA Cup Kwa Kiswahili
KAMPUNI ya Azam Media Group kupitia Azam TV, itaonyesha matangazo ya mechi zote za michuano ya The Emirates FA Cup ya nchini England kwa Lugha ya Kiswahili.
Hatua hiyo imekuja baada ya kampuni hiyo kupata kibali cha…