Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba Atoa Majibu Kuhusu Tozo za Mitandao ya Simu, Benki na Kodi za…
Waziri mwenye dhamana ya fedha, Mwigulu Nchemba amesema serikali imeyapokea maoni yote yaliyotolewa na wananchi kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu tozo na makato yaliyoongezwa kwenye miamala ya kibenki na mitandao…
