The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

Tshishimbi

Tshishimbi Aomba Kurejea Yanga

TAARIFA za ndani ya Klabu ya Yanga, zimeweka wazi kuwa, nahodha wa zamani wa timu hiyo, Papy Kabamba Tshishimbi, ameomba kurejea kuitumikia Yanga, kutokana na kuona bado anauwezo wa kuitumikia kwa mafanikio tofauti na ilivyokuwa mwanzo.…

Tshishimbi Ampoteza Kamusoko Yanga

KIUNGO wa Yanga, Papy Tshishimbi, juzi Jumamosi alifanikiwa kuziba vyema pengo la kiungo wa timu hiyo, Mzimbabwe, Thaban Kamusoko katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar kutokana na kupiga pasi 24 pamoja na kuonyesha uwezo mkubwa katika…