Chadema Pekee Kutoa Wabunge Viti Maalum Upinzani
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema vyama viwili kati ya 20 vilivyoshiriki katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28, mwaka huu ambavyo ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema), ndivyo vyenye sifa…
