Unapofeli Kufanya ‘Rehearsal’ ya Ndoa, Tegemea Maumivu!
Kwa mara nyingine tunamshukuru Mungu, tunaivuta pumzi ya bure kutoka kwake. Ametupa uzima tunakutana tena Julai 17, 2023 kupeana darasa la uhusiano na maisha ya kila siku.
Wiki iliyopita tulijifunza juu ya umuhimu wa kuridhika na…