Dovutwa Avuliwa Uenyekiti UPDP
HALMASHAURI Kuu Taifa ya Chama cha United People's Democratic Party (UPDP) imemvua uenyekiti Fahmi Dovutwa baada ya kubainika kufanya kosa la kukisemea chama hicho kinyume na katiba.
Uamuzi huo ulitangazwa juzi Jumapili,…