The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

uteuzi

Rais Samia Amteua Mwakilema TANAPA

Rais Samia Suluhu amemteua Mhifadhi William Mwakilema kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Kamishna wa shirika hilo. Mhifadhi Mwakilema anachukua nafasi ya Dkt. Allan Herbert Kijazi ambaye ameteuliwa…

Rais Samia Afanya Uteuzi TCU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Penina Muhando kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU). Prof. Muhando anachukua nafasi ya Prof. Mayunga Habibu Nkunya ambaye alifariki Julai…

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI TENA

Rais Dkt John Magufuli amemteua Prof Tadeo Andrew Satta Kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Wakala Wa Meli Tanzania (TASAC). Wakati huo huo, Rais Magufuli amemteua Emmanuel Stephen Ndomba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TASAC.…

TAARIFA MUHIMU KUTOKA IKULU LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Taifa kwa watu wenye ulemavu na Mwenyekiti wa wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA). …

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI TENA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, amemteua Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Mh. January Henry Msofe kuwa Mwenyekiti wa tume ya kurekebisha sheria. Mbali na Mwenyekiti huyo mpya wa Tume hiyo, Rais pia…