×

Tag: wcb

Mkubwa Fella: Wasanii Wengi wa Temeke Wana Mawazo Mgando, Hawashauriki

MENEJA wa Diamond Platnumz pamoja na Yamoto Band Mkubwa Fella amesema wasanii wengi wanaoiwakilisha Temeke (TMK) wana mawazo mgando hasa...

READ MORE

Rayvanny Kutoka Mtaani, WCB, Hadi Mmiliki Wa Lebo

RAYVVANY ni msanii aliyekuzwa na Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) iliyo chini ya Diamond Platnumz.Jina lake halisi ni Raymond...

READ MORE

Diamond Aanika Uzinduzi Albamu ya Mbosso – Video

Mkurugenzi wa Lebo ya WCB, Diamond Platnumz ametangaza uzinduzi wa Albamu ya msanii wake, Mbosso iitwayo ‘Definition of Love’ ambapo...

READ MORE

Rayvanny Ft Messias Maricoa – Bailando (Official Audio)

 STAA wa Bongo Fleva anayeitumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ Februari 1, 2021 ameachia album...

READ MORE

Lava Lava Afunguka Siri Nzito, Atamani Kuacha Muziki

MSANII wa Bongo Fleva, kutoka Lebo wa WCB, Lava Lava ameamua kuanika siri nzito iliyokuwa moyoni mwake huku akifunguka makubwa...

READ MORE

Babu Tale: Hatujazuia Clouds Kupiga Nyimbo za WCB, Kuna Utoto

MBUNGE wa jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale ambaye pia ni meneja wa Msanii Diamond Platnumz afunguka juu ya...

READ MORE

Kumekucha Zuchu na Rayvanny

  ACHANA na rekodi za wimbo wao wa Number One unaendelea kukiamsha mitaani na mtandaoni, lakini habari nzito ni kwamba...

READ MORE

Video: Zuchu Apata Dili Nono la Ubalozi

Muimbaji  Zuchu kutoka lebo ya WCB  amelamba dili la ubalozi kupitia kampuni ya Nywele ya  Darling, msanii huyo ameambatana na...

READ MORE

WCB Wakimbiza Wasanii Youtube

Takwimu zilizotolewa na matandao wa YouTube zinazohusisha channel za wanamuziki nchini Tanzania zilizotazamwa kwa wingi mwezi Septemba zimewaweka kileleni wasanii...

READ MORE

Haijawahi Kutokea! Zuchu Aweka Rekodi ya Ajabu WCB

ANAWAKERA eeeh? Mchawi wa Zuhura Othman Soud almaarufu ‘Zuchu’ si mwingine, bali ni namba ambazo zinamfanya aweke rekodi ya ajabu...

READ MORE

Maisha ya Queen Darleen Kufuru

  BAADA ya kuolewa mke wa pili na jamaa anayetajwa kuwa tajiri maarufu jijini Dar aitwaye Isihaka Mtoro, maisha ya...

READ MORE

Meneja wa Mbosso Naye Aondoka Wasafi

DAR ES SLAAM: Bado upepo siyo mzuri ndani ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB)! Siku chache baada ya mwanamuziki...

READ MORE

Harmonize Awazimia Data Mazima!

WAKATI mashabiki wakiendelea kujiuliza nini itakuwa hatima ya staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ na lebo iliyomlea kimuziki ya...

READ MORE

Baba Diamond Afunguka Harmonize Kusepa WCB

BABA wa msanii maarufu wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Mzee Abdul Juma amefunguka kuhusu uamuzi wa msanii...

READ MORE

WCB Yathibitisha Rasmi Kuachana na Harmonize

MENEJA wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Sallam SK amesema uongozi wa lebo hiyo umepokea barua ya aliyekuwa mmoja...

READ MORE

VIDEO MPYA: Diamond Platnumz Ft Fally Ipupa – Inama

 Msanii Diamond Platnumz toka WCB ameileta hii nyingine Inama akiwa na msanii toka Congo, ‘Fally Ipupa‘ Imefanywa na producer...

READ MORE

Diamond ‘Kawavuruga’ Mashabiki Shoo ya Geita – Video

Baada ya kuuwasha moto usiku wa kuamkia jana katika Uwanja wa Taifa wilayani Kahama, Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz,...

READ MORE

VIDEO: Harmonize Akiimba Kimakonde, Agawa Zawadi Kama Zote

Msanii kutoka lebo ya WCB, Harmonize jana alikiwasha maeneo ya Mtwara katika sherehe za Idd Mosi kwakushusha bonge moja la...

READ MORE

VIDEOMPYA:Harmonize, Queen Darleen ‘Mbali’

Queen Darleen, Harmonize toka lebo ya WCB wameileta video ya pamoja inaitwa ‘Mbali‘   Video imeongozwa na Kenny toka Zoom...

READ MORE

Rayvanny kuimba nyimbo 25 Dar Live

ALICHOPANGA kufanya Rayvanny siku ya Idd Pili pale Dar Live kitalisimamisha jiji, kwa sababu atapiga nyimbo zake 25 bila kupumzika....

READ MORE

VIDEOMPYA: Never Give Up Yaeleza Maisha Halisi Ya Harmonize

  Wimbo mpya wa msanii toka WCB Harmonize, ‘Never Give Up‘ umeelezea maisha yake toka ameanza safari yake ya muziki...

READ MORE

Majibu Ya Zari Kwa Diamond Platnumz

MZAZI mwenza wa mwanamuziki Diamond Platnumz,  Zari Boss Lady,  amefunguka baada ya msanii Diamond kuongea mengi kuhusu mahusiano yao yaliyopita...

READ MORE

VIDEO MPYA:Diamond Platnumz Kakupa Ujumbe Kwa Umpendaye, ‘The One’

  Boss wa WCB, Diamond Platnumz ametoa video ya wimbo wake mpya The One kwenye Pasaka ya pili.   Ametoa...

READ MORE

VIDEO MPYA: Harmonizer, Sara Mahaba Kama Yote Ndani Ya ‘Niteke’

  Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize toka lebo ya WCB ameonyesha mautundu ya mapenzi kwa mpenzi wake Sara ndani...

READ MORE

VIDEO MPYA:Harmonize, Diamond Platnumz & Burnaboy Kwenye Kainama

  Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize ameileta video ya wimbo wake wa kainama  aliofanya na boss wake Diamond Platnumz...

READ MORE

VIDEO MPYA:Lava Lava – Tukaze Roho

  Msanii toka WCB Lava Lava ameileta video ya wimbo wake mpya Tukaze Moyo.Video imeongozwa na Kenny toka Zoom Production....

READ MORE

MPAKA HOME: Maisha Halisi ya Q BOY “Bora Diamond Hajamzika baba Kiba” – VIDEO

Katika kipindi cha Mpaka Home wiki hii tumemtembelea Mwanamuziki na mbunifu wa mavazi, Q Boy Msafi, anayeishi Sinza Mori na...

READ MORE

Ubwabwa na Maharage Vyataka Kutoa Roho Mbosso

MSANII wa muziki wa kizazi kipya aliye chini ya Lebo ya WCB, Mbwana Yusuf Kilungi ‘Mbosso’ amefunua siri yake kwamba...

READ MORE

MBOSSO Afunguka Ndoa ya DIAMOND, Kushikwa Sehemu Nyeti – VIDEO

HIT MAKER wa ngoma ya Tamu, Mbosso, amesema hakutarajia kama Basata ingetoa msamaha kwa Bosi wake Diamond Platnumz na Rayvanny,...

READ MORE

Diamond Platnumz Kolabo Na Rapa Tyga ni Milioni 300.7 (VIDEO)

  MSANIIwa Tanzania, Naseeb Abdul Juma,  maarufu kama Diamond Platnumz, amefunguka juu ya gharama za kufanya kazi na rapa mkubwa...

READ MORE

Queen Darlin Amchana Tanasha!

  Siku chache baada ya mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kumtambulisha nyumbani kwao mchumba wake Tanasha Donna...

READ MORE

Enock Bella Afunguka Kusainiwa WCB / Nyumba Walizopewa Mmh! – VIDEO

Miongoni mwa Makundi ya Muziki yaliyowahi kutikisa Bongo ni Pamoja na Yamoto Band lililokuwa likiunda na vijana wanne, Aslay, Beka,...

READ MORE

Rasmi Mbosso Anakukaribisha Kuitazama ‘Tamu’ Video Mpya

  Msanii toka WCB, ‘Mbosso’ anaifanya wikiendi yako kuwa safi kwa video yake mpya ya Tamu.   Kenny toka Zoom...

READ MORE

Diamond Afunguka Msanii Mpya Atakayetambulishwa WCB

  MSANII nyota wa Bongo fleva, Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platnumz amefunguka kuhusiana na kumsajili msanii wa kike katika...

READ MORE

LUKAMBA – Ndoa Diamond na Tanasha Mmh../ Mke wa Pili? – VIDEO

Mpiga Picha wa Diamond Platnumz, Ashrafu Haji ‘Lukamba’ , amefungukia penzi la Boss wake pamoja na Mwanadada Tanasha Donna kutoka...

READ MORE

Harmonize Atangaza Fursa kwa Watangazaji na Ma Dj’s – (VIDEO)

  Msanii Harmonize toka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) ametangaza fursa ya kuwafanyia (utambulisho) jingles watangazaji na ma dj’s...

READ MORE

MAAMUZI WALIYOYACHUKUA BASATA KWA DIAMOND NA RAYVANNY

  Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limemruhusu msanii Naseeb Abdul ‘Diamond’ na Raymond Mwakyusa ’Rayvanny’ kufanya maonyesho yao nchini...

READ MORE

Mbosso Amekuletea Zawadi Ya Sikukuu ‘Tamu’ Wimbo Mpya

  Msanii toka WCB, ‘Mbosso’ ameleta wimbo wake mpya ‘Tamu’ kama zawadi na funga mwaka 2018.   Kupitia akaunti yake...

READ MORE