WEMA SEPETU: SIWEZI KURUDIANA NA X- WANGU JAMANI!
MUIGIZAJI mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu ‘Keki ya Taifa’, amekanusha ishu ya inayovuma mitandaoni kuwa anatamani kurudiana na X-wake ambaye ni Mbongo Fleva, kwa kusema hawezi kamwe kurudiana naye kwani mpenzi wake wa sasa anampa…
