The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Wema Sepetu

Wema Akwaa Kesi Nzito ya Kudaiwa

STAA mkubwa wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu anadaiwa kukwaa na kesi nzito ya kudaiwa deni kubwa na Wakenya, lakini yeye mwenyewe ameliambia Gazeti la IJUMAA; “Nimechoka kusakamwa!”Kwa mujibu wa walalamikaji ambao ni madakatri…

Ifike Mahali Wema Umuamkie Mobeto

KUTANGULIA sio kufika! Ndio unavyoweza kusema. Mrembo wa taifa, Tanzania Sweetheart Wema Sepetu alitangulia kuchomoka kwenye umaarufu lakini mwanamitindo Hamisa Mobeto akaja baadaye na sasa anaonekana kabisa anakwenda kumfunika dada…

Waganga Wamponza Wema

WEMA Sepetu amefilisika au kuna jambo nyuma ya waganga wa kienyeji ambao ameamua kuwatangazia huduma zao kwenye kurasa zake za Instagram? Kitendo hicho ni kama kimemponza Wema, baada ya baadhi ya watu kuonesha masikitiko yao…

Muna: Sina kinyongo na Wema

MSANII wa filamu Bongo, Rose Alphonce ‘Muna Love’ amesema kuwa hajawahi kuacha kumpenda msanii mwenzake Wema Sepetu licha ya mambo yote yaliyowahi kutokea kati yao.  Akizungumza na Risasi Vibes hivi karibuni ikiwa ni baada ya wawili hao…

Wema amtoa chozi Diana

MWIGIZAJI wa Bongo Movies ambaye kwa sasa amejichimbia nchini Marekani, Diana Kimari amejikuta akimwaga chozi baada ya kumkumbuka shoga’ke kipenzi, Wema Isaac Sepetu. Diana ameiambia OVER ZE WEEKEND kwa njia ya simu kutoka kwa Trump…

Maskini wema !

KILA kukicha hali ya staa wa Bongo Muvi inazidi kubadilika kutokana na kuzidi kukondeana jambo ambalo linazidi kuwashtua wengi na kubaki wakisema kwa kumuhurumia; maskini Wema. Picha ya Wema akiwa na wenzake ilisambaa kwenye kurasa…

Aunt atonesha kidonda cha wema!

DAR ES SALAAM: Ama kweli ule usemi usemao mtoto si nguo umuazime mwenzako una maana kubwa! Staa mkubwa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amemtonesha kidonda shoga’ke, Wema Isaac Sepetu.  Aunt amewauliza watu waeleze changamoto za…

Samatta Apewa Unahodha Genk

MAMBO yanazidi kumnyookea straika Mtanzania Mbwana Samatta katika kikosi cha KRC Genk baada ya Jumamosi iliyopita kuwa nahodha kwenye mechi ya Ligi Kuu Ubelgiji walipocheza dhidi ya K.V. Oostende. Samatta ambaye pia ni nahodha…

Wema, Mobeto wamaliza bifu

BAADA ya kuishi kwa muda mrefu huku ikidaiwa hawaivi, warembo Wema Sepetu na Hamisa Mobeto wameonesha kwamba hawana tena kinyongo kati yao baada ya kila mmoja kumfuata mwenzake (kum-follow) kwenye ukurasa wa Instagram. Kwa nyakati…

Ester, Wema ameniumiza sana!

MUIGIZAJI wa Bongo Muvi, Ester Kiama amesema muigizaji mwenzake, Wema Isaac Sepetu amemuumiza roho hadi kumfanya aangue kilio na kukosa raha siku nzima. Ester ameyasema hayo kufuatia hivi karibuni Wema kumjibu mmoja wa mashabiki wake…

Wema Sasa Kupata Mtoto

KAMA ni kiu ya kupata mtoto kwa sasa mwigizaji nyota wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu amefika kisimani; kinachosubiriwa ni kuteka maji na kuyanywa; Gazeti la Ijumaa Wikienda limethibitishiwa. Akizungumza na mwandishi wetu hivi…

WEMA AFICHUA SIRI YA MAISHA YAKE

WEMA Isaac Sepetu ‘Madam’ amevunja ukimya, amefichua siri nyuma ya maisha yake, Ijumaa Wikienda linakudokeza.  Katika mahojiano maalum na Gazeti la Ijumaa Wikienda muda mfupi baada ya kuhojiwa na +255 Global Radio na kutambulisha…

WEMA ATOKA NA GONJWA GEREZANI

BAADA ya kutupwa Mahabusu ya Segerea jijini Dar kwa wiki moja, Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu amedai kutoka na gonjwa lililosabisha alazwe hospitalini.  Wema aliliambia Gazeti la Ijumaa Wikienda katika mahojiano maalum kuwa;…