Tamasha la Mziki Mnene Lazinduliwa Kw Kishindo Tabata
Tamasha la Mziki Mnene linaloandaliwa na kituo kinachofanya vyema nchini Tanzania E-FM Radio, lilianza hivi karibuni kwa shauku kubwa ambapo wanafamilia wa E-FM waliziamsha shamrashamra kwa kufanya jogging ili wakaungane na wakazi wa Tabata.



