The House of Favourite Newspapers

Tangazo La Nafasi 800 Za Ajira Za Udereva – Ofisi Ya Waziri Mkuu Kupitia Mashirika

Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa kushirikiana na mawakala na kampuni tanzu ya Mkapa Foundation Imara Horizon, Connect General Supplies, Sassy Solutions pamoja na Larali Global Solutions, inapenda kuwakaribisha Watanzania wenye sifa kutuma maombi kwa ajili ya kujaza nafasi 800 za fursa za udereva.

Kwa mawasiliano, piga simu zifuatazo:

+255749639354/ +255678203223
+255748883355/ +255710882820
+255782821089/ +255675899410
+255782821089/ +255710882820

Comments are closed.