The House of Favourite Newspapers

TECNO CAMON 30 Yashika Namba Moja Katika Mauzo Ya Mwezi Wa Julai, Tanzania

0

Katika mwezi wa Julai, TECNO CAMON 30 ilipita mbele ya washindani wote katika soko la simu za mkononi nchini Tanzania, ikionyesha mabadiliko makubwa kwa chapa hiyo baada ya kipindi cha kupungua kwa mauzo. Kulingana na utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na wauzaji wa simu, CAMON 30 ilipita brand zingine kubwa. Marejeleaji haya yanaangazia mkakati wa mafanikio wa TECNO katika kuimarisha uwepo wake sokoni.

Utendaji mzuri wa CAMON 30 unachangiwa kwa kiasi kikubwa na mfumo wa kamera wa kisasa ulio na sensa ya SONY, inayoongeza ubora na uwazi wa picha. Aidha, kipengele cha AIGC (Maudhui Yanayozalishwa na Akili Bandia) kinachomruhusu mtumiaji kuunda matoleo mbalimbali ya picha zake, kinaongeza ubunifu (Majaribio yaliofanyika kwa kutumia camera ya CAMON 30 AIGC kwa kupiga picha sura za watu maarufu nchini na kutupatia matokeo haya kama unavyoweza kuona). Licha ya hayo yote CAMON 30 inakuja na earbuds zenye uwezo mkubwa ndani ya box.

 

Leave A Reply