Usiku wa Ulaya Umefika, Beti UEFA leo na ushinde zaidi na Meridianbet

Hatimaye baada ya kusubiri kwa hamu kabisa Usiku wa Ulaya umerejea kwa kishindo na safari hii ni mechi kali kabisa za kujiokotoea pesa. Weka dau lako dogo tuu na uanze safari yako ya ushindi hapa.
Mabingwa mara nyingi wa michuano hii, Real Madrid watakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Olympiacos ambao kwenye mechi 4 walizocheza wana pointi 2 pekee huku Xabi Alonso na vijana wake wakiwa na pointi zao 9. Kila timu inahitaji ushindi mkubwa siku hiyo huku nafasi ya wewe kupuna ikiwa kubwa pia. Bashiri hapa.
Wakati huo huo bingwa mtetezi wa Kombe hili, PSG ataumana vikali dhidi ya Tottenham Hot Spurs ambao hawajawahi kuchukua Kombe hili kabisa, huku wenyeji wao wakiwa nalo moja pia. Mara ya mwisho wamekutana kwenye UEFA SUPER CUP na vijana wa Luis waliondoka na kombe. Spurs kulipa kisasi leo?. Beti sasa.
Pesa nyingi zipo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Macho yote yatakuwa pale Emirates kushuhudia mechi ya Arsenal vs Bayern Munich ambao kwenye mechi zao zoe 17 walizocheza watoa sare mechi moja pekee na kushinda zote. Wakati The Gunners wao wakipoteza moja na sare mbili. Msimu jana walipokutana Kompany na vijana wake waliondoka na ushindi. Je leo hii nani kushinda. ODDS KUBWA zipo hapa. Suka jamvi sasa.
Kule Cyprus Pafos FC baada ya kuondoka na ushindi mnono safari hii atakiwasha dhidi ya AS Monaco ya kule Ufaransa ambapo mpaka sasa wote hawa wana pointi 5 kwenye msimamo wa ligi ya mabingwa. Ushindi ni muhimu kwa hawa wote leo. Je wewe beti yako unaiweka kwa nani akupe maokoto?.
Huku macho yote yatakuwa pale Emirates kushuhudia mechi ya Arsenal vs Bayern Munich ambao kwenye mechi zao zoe 17 walizocheza watoa sare mechi moja pekee na kushinda zote. Wakati The Gunners wao wakipoteza moja na sare mbili. Msimu jana walipokutana Kompany na vijana wake waliondoka na ushindi. Je leo hii nani kushinda. ODDS KUBWA zipo hapa. Suka jamvi sasa.
Diego Simeone na Atletico Madrid yake watakuwa wenyeji wa Inter Milan ambayo mpaka sasa imekusanya pointi 12 huku wenyeji wao wakiwa na pointi 6 pekee. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa msimu juzi ambapo kila mtu alishinda mechi moja kati ya mbili walizokutana. Machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet kwenye mechi hii. Jisajili sasa.
Pale Anfield kutakuwa na mechi ya Liverpool vs PSV kutoka kule Uholanzi huku tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee. Jogoo wa Anfield ana pointi 9 huku mgeni wake akiwa na pointi 5. Tengeneza jamvi lako la uhakika na Meridianbet leo na uweke dau dogo tuu ushinde mkwanja mrefu hapa.

