UTALIA: MTOTO Atembea kwa Tumbo, Utamuonea Huruma! – Video
Mtoto Warda Saleh mkazi wa Tandale jijini Dar es Salaam ameteseka kwa muda mrefu kutokana na hali yake ya ulemavu inayosabaisha kutembea kwa kutumia tumbo lake ili awze kusogea kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Bibi wa mtoto huyo, Amina Salehe amesema mjukuu wake huyo alianza kupata matatizo ya kiafya tangu alipozaliwa ambapo alitoka tumboni kwa mama yake akiwa hajatimiza hata kilo mbili.
Comments are closed.