The House of Favourite Newspapers
gunners X

VIDEO: Berry Black Alivyokumbusha Nyimbo za Zamani Dar Live

WAPENZI wa burudani usiku wa kuamkia leo Aprili 21, 2019 walishuhudia shoo ya aina yake kutoka kwa msanii  mkongwe Berry Black katika sikukuu ya Pasaka ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar.

Comments are closed.