Video: Morrison Awaomba Simba Akacheze Yanga, Kuna Mido Imeitaja Simba | Krosi Dongo

MCHEZAJI wa Simba, Benard Morrison, ameuomba uongozi wake umpe Barua ya kumuachia ‘Release Letter’ ili aweze kucheza michuano ya CAF na klabu nyingine msimu ujao.
Lakini Simba wamemjibu kwa kuwa bado mkataba wake haujamalizika, Utaratibu ni Klabu inayomtaka ndio itume maombi, sio yeye.

