VIDEO: WABUNGE WANAIBANA SERIKALI KWA HOJA NZITO, MAWAZIRI WANAPANGUA, BUNGE LA 12-VIDEO
BUNGE la 12, vikao vyake vinaendelea leo Mei 23, 2020 Bungeni jijini Dodoma. Ni kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanaibana serikali kwa maswali na kupatiwa majibu.