The House of Favourite Newspapers
gunners X

Wasambazaji wa Mafuta Kaskazini Watakiwa Kununua Mafuta Bandari ya Tanga

0

EWURA imeagiza wasambazaji wote wa bidhaa za petroli mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kuanza kuchukua bidhaa hizo kutoka Bandari ya Tanga, na si sehemu nyingine.

Atakayekiuka agizo hilo atatozwa faini TZS Milioni 100 au kifungo kisichopungua miaka 10, au vyote.

Leave A Reply