Wasanii Walivyokamua Kwenye Komaa ‘Concert’ ya EFM
Wasanii wa kitambo kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Mabaga Fresh wakifanya yao kwenye jukwaa la Komaa Concert ambao walitamba na ngoma zao zikiwemo Tunataabika na Mtulize.

Mmoja kati ya wasanii waliokuwa wanaunda Kundi la Watu Pori, Mc Koba akifanya yake kwenye steji.
Msanii wa Bongo Fleva, Malaika naye hakuwa nyuma kwenye tamasha hilo.
Msanii wa Hip Hop, Kala Jeremiah akikamua.
Roma Mkatoliki akiwapagawisha mashabiki waliofurika kupata burudani.
Snura akikamua stejini.
Picha na Hilaly Daud / GPL






