Waziri Mkuu Ahani Msiba Wa Mzee Mongela Makongo Juu jijini Dar
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Juni 3, 2025. amehani msiba wa Mzee Silvin Ibengwe Mongella ambaye ni mume wa Mama Getrude Mongella, nyumbani kwa marehemu Makongo Juu jijini Dar es salaam.



Comments are closed.