Waziri Mkuu Ashiriki Swala Ya Eid Katika Msikiti wa Mfalme, Muhammad wa Sita wa Morocco, Dar

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 3, 2022 ameshiriki Swala ya Eid El Fitri pamoja na Waumini wengine wa dini ya Kiislamu katika Msikiti wa Mfalme, Muhammad wa Sita wa Morocco, ulioko Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
