The House of Favourite Newspapers

Waziri Mkuu Azindua ripoti ya Kidemografia, Kijamii, Kiuchumi na Mazingira

0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 22, 2024 amezindua ripoti ya Kidemografia, Kijamii, Kiuchumi na Mazingira zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi na Sensa ya Majengo ya Mwaka 2022.

Katika uzinduzi huo, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi Hemed Seleman Abdulah pia atashiriki.

Uzinduzi huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es salaam.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi Hemed Seleman Abdulah akiogea jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kushoto).

NASRA HASIMAMI WALA HAONGEI – MAMA AMFUNGIA CHUMBANI na KUKIMBILIA IRINGA – BIBI AOMBA ASAIDIWE…

Leave A Reply