The House of Favourite Newspapers

Chino Kidd Afanya Balala Simba Day Kwa Mkapa – Picha

0

Msanii maarufu wa Bongofleva, Chino Kidd, ameacha gumzo kwenye jukwaa la Simba Day 2025 ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kuteka hisia za maelfu ya mashabiki kwa performance kali iliyojaa nguvu, midundo mizito na vibe za mtaa.

Mashabiki walilipuka kwa shangwe mara tu alipopanda jukwaani, huku nyimbo zake zikitikisa uwanja mzima na kuifanya Simba Day kuwa sio tu siku ya michezo bali pia sherehe ya burudani ya kitaifa.

Hii imeonyesha jinsi Simba Day inavyozidi kuvuka mipaka ya soka na kuwa tamasha kubwa la burudani na michezo nchini.

 

Leave A Reply