 Rais John Pombe Joseph Magufuli amemteua Habbi Gunze kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).
Rais John Pombe Joseph Magufuli amemteua Habbi Gunze kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).
Uteuzi wa Gunze umeanza rasmi October 1 2018, hivyo kwa sasa Baraza la Sanaa la Taifa, limeongezewa nguvu ambapo mwenyekiti huyo atashirikiana na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Geofrey Mungereza kuiinua sanaa hapa nchini.

Comments are closed.