The House of Favourite Newspapers

Bocco Alamba Milioni 1 ya Mchezaji Bora wa VPL Mwezi Agosti, 2016

001-mchezaji-bora-wa-mwezi-august

Mshambuliaji wa timu ya Azam FC, John Bocco (kushoto) akipokea hundi yenye thamani ya shilingi milioni 1/- kwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Mwezi Agosti, toka kwa Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu (kulia) kabla ya mchezo kuanza wa timu yake na Yanga hapo jana katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura.

Comments are closed.