
Browsing Category
Ajira
Serikali Yatangaza Ajira 142 NAOT kwa Fani Mbalimbali
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa, uwezo na nia ya kufanya kazi serikalini kujaza nafasi 142 kama…
JKT Watangaza Mafunzo ya Kujitolea 2026, Usaili Kuanza Januari 26
Mkuu wa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele ametoa wito wa kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa kujitolea mwaka 2026.
Akimwakilisha Mkuu wa JKT, Mkuu wa Tawi la Utawala JKT Brigedia Jenerali Hassan Mabena leo tarehe 20…
Serikali Yatangaza Nafasi 912 za Ajira kwa Walimu na Walezi wa Watoto
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara na Wakala za Serikali (MDAs) pamoja na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs), imetangaza nafasi 912 za ajira kwa Watanzania wenye sifa na uwezo, kufuatia tangazo…
Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa Yatangaza Nafasi 08 za Ajira
Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa imetangaza nafasi nane (08) za ajira kwa Watanzania wenye sifa, kufuatia kibali kutoka Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Tangazo hilo limetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa…
Chuo cha DUCE Chatangaza Nafasi Mbalimbali za Ajira Januari 2026
Chuo Kikuu cha Elimu cha Dar es Salaam (DUCE), ambacho ni Chuo Kishiriki cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kimetangaza nafasi 21 za ajira kwa Watanzania wenye sifa stahiki katika kada za Wahadhiri Wasaidizi (Assistant Lecturers), Wasaidizi…
PSRS Yatangaza Nafasi 208 za Ajira Serikalini Taasisi 10 Mbalimbali
Ofisi ya Rais – Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) imetangaza jumla ya nafasi 208 za ajira katika taasisi na mashirika mbalimbali ya Serikali kwa niaba ya waajiri, ikiwemo TAWA, TASAC, NBS, TIRA, TAFORI, CAMARTEC, CBE,…
Nafasi za Kazi 50+ kwa Wahitimu wa Sayansi, Teknolojia, Biashara, Sheria na Afya
Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kilibadilishwa kutoka Mbeya Institute of Science and Technology (MIST) chini ya Sheria ya Vyuo Vikuu Na. 7 ya mwaka 2005 na Katiba ya MUST ya mwaka 2013. Chuo kina lengo la kuwa kitovu cha…
Serikali Yatangaza Ajira 136 Mpya IAA, TAA, NECTA, TIE na NACTVET
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) imetangaza jumla ya nafasi 136 za ajira kwa Watanzania wenye sifa, kwa niaba ya taasisi mbalimbali za serikali. Fungua link kusoma zaidi hapa chini
NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI…
Nafasi 27 za Ajira kwa Wahudumu wa Maduka Dar, Zipo Hapa leo
Kampuni zinazoongoza kwenye huduma za maduka zinatafuta wasichana 27 wenye weledi na tabia nzuri za kuhudumia wateja. Nafasi hii ni fursa kubwa kwa vijana wa kike ambao wanapenda kazi ya huduma kwa wateja na wanataka kufanya kazi katika…
Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Yatangaza Ajira 4 za Mwandishi Mwendeha Ofisi
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba ajira za nafasi nne (04) baada ya kupokea kibali kutoka Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora. Bonyeza hapa…
Uhamiaji Watangaza Nafasi Mpya za Kazi, Sifa za Kuomba zipo Hapa
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana wa Kitanzania wenye sifa zifuatazo:-…
OUT Yatangaza Ajira Mpya 15 za Tutorial Assistant Kanda Mbalimbali
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimetangaza nafasi mbalimbali za ajira kwa kada ya Tutorial Assistant katika fani tofauti, kwa lengo la kuimarisha rasilimali watu na kutekeleza dhamira ya kutoa elimu bora, rahisi na inayopatikana kwa…
Usikose! Ajira 514 Zatangazwa Afya, TEHAMA na Ufundi – Deadline Disemba 23
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, MDAs, LGAs, Jeshi la Magereza pamoja na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, ametangaza nafasi 514 za ajira kwa Watanzania wenye sifa na…
MNUAT Yatangaza Ajira Mpya 54, Mwisho wa Maombi Disemba 21, 2025
Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MNUAT) kimetangaza jumla ya nafasi 54 za ajira kwa Watanzania wenye sifa, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya upanuzi wa taasisi na kuanzishwa kwa programu mpya za masomo kuanzia mwaka…
Fursa ya Ajira – Wauzaji wa Maduka, Mikocheni, Masaki & Mlimani City
Eneo: Mikocheni Plaza, Mlimani City & Masaki, Dar es Salaam
Tunatafuta wasichana wenye talanta ya kuuza na huduma kwa wateja kujiunga na timu yetu ya maduka.
Vigezo / Requirements
Muonekano mzuri na nadhifu
Mwaminifu na…
Wizara ya Maliasili na Utalii Yatangaza Nafasi za Kazi Dodoma
Wizara ya Maliasili na Utalii (MNRT) inatangaza nafasi za ajira kupitia Mradi wa Food Systems, Land Use and Restoration in Tanzania’s Forest Landscapes, sehemu ya mpango mpana wa kimataifa wa GEF FOLUR Impact Program. Mradi huu wa miaka…
Fursa Mpya! Bank Tellers 7 Wenye Uzoefu Wanahitajika Haraka
JUNCTION, kampuni inayoongoza katika usimamizi wa rasilimali watu, imetangaza fursa mpya za ajira kwa watanzania wenye sifa stahiki. Kampuni hiyo inahitaji kujaza nafasi 7 za Bank Teller kwa ajili ya kuimarisha huduma za kifedha kwa…
Chuo Kikuu cha Mzumbe Chatangaza Nafasi za Kazi 21, Habari Njema kwa Wahitimu
Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU) kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, kinakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa stahiki kujaza jumla ya nafasi 21 za ajira za kitaaluma kwa ngazi za Assistant Lecturer na Tutorial…
Nafasi Mpya ya Ajira: Customer Care Wanaohitajika Mara Moja
Nafasi ya Kazi: Customer Care
Tunakaribisha maombi kutoka kwa waombaji wenye sifa stahiki kwa ajili ya nafasi ya Customer Care. Mteule atakuwa na jukumu la kuhudumia wateja katika maduka yetu yaliyopo kwenye Malls mbalimbali, kuhakikisha…
Nafasi 14 za Ajira Zafunguliwa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, Mwisho wa maombi Disemba 03
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi kumi na nne (14) za ajira baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Nafasi hizo ni kama…
Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu Yatangaza Nafasi 12, Mwisho Disemba 2, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu inawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi zilizotangazwa. Kuna jumla ya 12 (kumi na mbili) nafasi. Waombaji wanapaswa kusoma kwa makini vigezo, sifa na masharti kabla ya kuwasilisha…
Wilaya ya Serengeti Yatangaza Nafasi za Kazi 9 kwa Dereva
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, kupitia kwa Mkurugenzi Mtendaji, imetoa tangazo rasmi la ajira ikiwakaribisha Watanzania wenye sifa kuomba nafasi tisa (09) za kazi ya Dereva Daraja la II, baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais…
Nafasi 8 za Kazi kwa Madereva – Halmashauri ya Ikungi 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi inawaalika Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nane (8) za Dereva Daraja la II. Tangazo hili linaendana na kibali kilichotolewa na Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.…
Serikali Yatangaza Ajira Mpya 976 kwa Taasisi Mbalimbali za Umma
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (Public Service Recruitment Secretariat – PSRS) imetangaza nafasi mpya 976 za kazi kwa niaba ya taasisi na mashirika mbalimbali ya Serikali.
Kupitia tangazo rasmi lenye Kumb. Na. Ref. No.…
Muheza Watangaza Nafasi 15 za Ajira Mpya Serikalini
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi kumi na tano (15) za kazi baada ya kupokea kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na…
Ajira Mpya 28 Zatangazwa Ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetangaza nafasi za ajira katika kada tofauti likiwaalika Watanzania wenye sifa stahiki kutuma maombi yao.
Lengo ni kuongeza nguvu kazi na kuboresha utendaji wa sekretarieti ya Bunge.
Kwa…
Degree 10 Zenye Ajira za Haraka na Mshahara Mnono
Katika dunia ya leo inayoendeshwa na teknolojia na ubunifu, kuchagua kozi sahihi ya chuo ni jambo muhimu sana. Ikiwa unatafuta kusoma degree yenye ajira ya haraka na mshahara unaolipa vizuri, hizi ndizo kozi 10 zinazotamba zaidi…
Nafasi Kazi 10,026 Mpya – Fursa kwa Walimu, Wauguzi na Kada Nyingine!
Tangazo hilo ni rasmi la ajira serikalini lililotolewa na Ofisi ya Rais – Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (TAMISEMI/PO-PSMGG) tarehe 18 Oktoba 2025 lenye Kumb. Na. JA.9/259/01/C/6.
Lengo lake ni kutangaza nafasi 10,026 za…
Serikali Yatangaza Nafasi 17,710 za Kazi MDAs & LGAs, Mwisho maombi Oktoba 29
Serikali imetangaza nafasi mpya 17,710 za kazi kwa taasisi za kitaifa na halmashauri (MDAs & LGAs). Angalia orodha ya nafasi, sifa, na jinsi ya kuomba kabla ya tarehe 29 Oktoba 2025. Pata maelezo kamili na hati za maombi hapa chini.…
Nafazi za Kazi 38 Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), Zipo Hapa Mwisho maombi Oktoba 28
Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU) kipo Dar es Salaam na kinatangaza nafasi mbalimbali za ajira kwa wahadhiri wapya na wasaidizi wa ufundishaji katika kada za kitaaluma. ARU ni mwajiri mwenye sera ya kutoa fursa sawa kwa wote, hivyo…
Fursa za Kazi: Kisarawe Yatangaza Nafasi za Ajira Mpya Serikalini
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi zilizopatikana baada ya kibali cha ajira kutoka Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
1.0…
Nafasi Za Kazi Za Mkataba Halmashauri Ya Wilaya Ya Mlimba
Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba inatangaza nafasi za kazi za mkataa (contract) kwa idara mbalimbali. Wote wanaopenda wanakaribishwa kuomba nafasi hizi kwa kusoma vigezo na masharti yafuatayo:
TEMESA Yatangaza Ajira Mpya Hapa, Wahi Kuomba Kabla ya Muda Kuisha!
Hii ni tangazo rasmi la ajira kutoka Ofisi ya Rais – Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) kwa niaba ya Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA). Mwisho wa kutuma maombi: 05 Oktoba, 2025.…
Global Tv Yatangaza Nafasi Za Kazi Kwa Vijana Wenye Vipaji
Kampuni ya utangazaji ya Global TV imetangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye vipaji na shauku ya kujiunga katika timu yake ya vipindi vya runinga.
Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa, jumla ya nafasi 6 zimefunguliwa:
🎤…
Ajira Mpya: Halmashauri ya Mbulu Yatangaza Nafasi 4 za Dereva
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 4…
Nafasi za Kazi 298 TAWIRI, VETA, NIMR, TFNC, PSRS, TBA na NMT
Kwa niaba ya Mamlaka ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Kazi (VETA), Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI), Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR), Kituo cha Chakula na Lishe…
Halmashauri Tano Zatangaza Nafasi za Kazi mpya Septemba 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri za Wilaya husika anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi kuomba nafasi za kazi zilizotolewa, kufuatia vibali vya ajira kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na…
Fursa za Ajira SUA 2025 – Walimu, Wasaidizi na Nafasi Nyingine
Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) kilianzishwa tarehe 1 Julai 1984 kwa Sheria ya Bunge Na. 6 ya mwaka huo, ambayo baadaye ilifutwa na Sheria ya Vyuo Vikuu Na. 7 ya 2005 na hatimaye SUA ikapewa Hati ya Chuo mwaka 2007. Chuo kina dira ya kuwa…
Nafasi 29 za Kazi Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya – Deadline 24 Agosti 2025
Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kilianzishwa kutokana na mabadiliko ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Mbeya (MIST) kupitia Sheria ya Vyuo Vikuu Na. 7 ya mwaka 2005 na Katiba ya MUST ya mwaka 2013.
Dira ya Chuo ni…
Serikali Yatangaza Nafasi 199 za Ajira kwa Watanzania
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (MDA’s na LGA’s), ametangaza nafasi 199 za ajira mpya na kuwataka Watanzania wenye sifa na uwezo kuwasilisha…