The House of Favourite Newspapers

Genevieve Nnaji Apozi na Kajibwa Kake [Picha]

mnaj
DIVA kutoka Nollywood, Genevieve Nnaji ameonyesha dhahiri mahaba yake kwa mbwa baada ya kuachia picha zake akiwa katika pozi murua na mbwa wake.

genevieve-nnaji-dog

Genevieve ametupia picha hizo katika mitandao ya kijamii na kufuata nyayo za mastaa wengine kama Tonto Dikeh, Stephanie Okereke ambao ni wapenzi wakubwa wa wanyama hao.

genevieve-nnaji-dog-photos

 

Comments are closed.