Vyakula Vinavyosaidia Kuongeza Nguvu Za Kiume
TATIZO la kupungukiwa nguvu ni suala linaloumiza familia na kuvuruga mahusiano. Tatizo hili siyo tu linamuathiri mwanaume, lakini pia kwa kiasi kikubwa linamuathiri mkewe. Mwanamke ndiye anayejua kiwango cha nguvu za kiume za mumewe,…
