The House of Favourite Newspapers

Video: Rais Samia Azindua Meli 2 na Chelezo Bandari ya Mwanza

0

Rais Samia leo Juni 15, 2021 amezindua Chelezo 1 na Meli 2 zilizokarabatiwa katika bandari ya Mwanza (Ziwa Victoria) na pia ameshuhudia utiaji saini mikataba mipya ya ujenzi na ukarabati wa meli nyingine 5.

1. Chelezo kubwa kuliko zote katika ziwa Victoria yenye uwezo wa tani 4,000. Imegharimu shilingi Bilioni 36.4

2. Ukarabati wa meli za MV Victoria (Hapa Kazi Tu) na MV Butiama (Hapa Kazi Tu) umegharimu shilingi Bilioni 27.6

MIRADI MIPYA
1. Ujenzi wa meli mpya ya mizigo 1 ya kubeba tani 2,800 katika Bahari ya Hindi.
2. Ujenzi wa meli mpya ya mizigo 1 ya kubeba tani 3,000 katika Ziwa Victoria.
3. Ujenzi wa meli mpya ya mizigo 1 ya kubeba tani 2,800 katika Ziwa Tanganyika.
4. Ujenzi wa meli 1 ya abiria 600 na mizigo tani 400 katika ziwa Tanganyika.
5. Ukarabati wa meli ya MV Umoja yenye uwezo wa kubeba tani 1,000 katika Ziwa Victoria.

Utekelezaji wa miradi hii mipya utagharimu shilingi Bilioni 438.839.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply