ZIFAHAMU NCHI NNE AMBAZO WATU WAKE HUISHI MIAKA MINGI

ZIFAHAMU NCHI NNE AMBAZO WATU WAKE HUISHI MIAKA MINGI

MWANADAMU hakipendi kifo. Katika kuhakikisha anaendelea kuishi, hupambana kwa kila hali ili aendelee kubaki salama. Miongoni mwa njia zinazotumiwa kujihakikishia miaka mingi ya kuishi, ni kufanya mazoezi na kula vizuri. Hayo ndiyo yafanywayo na watu duniani kote. Pamoja na harakati zote hizo, yapo mataifa ambayo kwa wastani watu wake huishi miaka mingi zaidi ukilinganisha na mataifa mengine. Katika orodha hii, uta-zifahamu  nchi nne ambazo watu wake huishi miaka mingi, zipo siri zinazofanya waweze kudumu kwa muda mrefu:

 

JAPAN

Wanaishi kwa wastani wa miaka 83. Sababu kubwa inayotajwa kuchangia katika kusogeza umri ni vyakula vya jadi wanavyokula. Viazi vitamu na samaki ni aina ya vyakula vyenye mchango mkubwa. Pia, jamii imara isiyo na migogoro mingi inawasaidia kupunguza msongo wa mawazo… SOMA ZAIDI


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment