The House of Favourite Newspapers

Alichokifanya Ebitoke Usiku wa ‘900 Itapendeza’ Dar Live

Msanii wa vichekesho nchini, Ebitoke, akifanya yake stejini na baadhi ya wasanii wa kundi lake la Timamu Media usiku wa kuamkia leo.
…Akijibizana na msanii mwenzake katika kukoleza vichekesho.
Maigizo ya vichekesho yakiendelea.
Mashabiki wakifuatilia maigizo hayo.

 STAA wa vichekesho Bongo, Ebitoke alipanda jukwaani na kundi lake zima kutoka Timamu, liliwafanya mashabiki wavunjike mbavu kwa vicheko kutokana na mambo ambayo waliyafanya jukwaani akiwa sambamba na mamaa Ashura.

Comments are closed.