The House of Social Media
gunners X

BIOLOGY: Evolution (FORM FOUR) – Video

0

Ni wiki nyingine ambapo programu ya Jipange na Pepa inazidi kushika kasi, leo ikiwa ni zamu ya Somo la Biology kidato cha nne, Topic ikiwa ni Evolution, ukiwa naye mwalimu mzoefu, Madam Consolata.

 

Wanafunzi wa kidato channe watapata nafasi ya kujifunza kwa kina kuhusu topic hii na kupata uelewa mkubwa wa namna ya kujibu maswali yanayoulizwa zaidi kwenye mtihani wa mwisho.

 

Programu hii imeandaliwa na Global Publishers/ Global TV kwa ushirikiano na Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) kuhakikisha kwamba katika kipindi hiki cha janga la ugonjwa wa Corona, wewe mwanafunzi mahali popote ulipo unaendelea kupata vipindi vya masomo mbalimbali, MUBASHARA!

 

Leave A Reply