The House of Favourite Newspapers

RAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS SHEIN IKULU DAR

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti Wa CCM-Zanzibar- Rais Wa Zanzibar Dk. Shein Ikulu Jijini Dar Es Salaam

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula Ikulu jijini Dar es Salaam.

Comments are closed.