Nafasi Ya Kazi Mwanasheria wa CWT, Dodoma

Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimetangaza nafasi ya kazi ya Mwanasheria ili kuboresha huduma kwa wananchama. Mtanzania mwenye sifa ya Elimu ya Sheria katika ofisi za chama Makao Makuu yaliyopo jijini Dododma.

Loading...

Toa comment